Matangazo ya televisheni ya kuhamasisha chanjo katika Michuano ya mpira ya Mataifa ya Afrika – Tanzania

Matangazo haya mawili ya televisheni yanahamasisha chanjo za kawaida pamoja na chanjo za UVIKO-19 katika michuano ya mpira ya kombe la kimataifa Afrika 2023, Matangazo haya yanalenga kutoa hamasa kwa wanaume kuhakikisha familia zao na wapendwa wao wamepata chanjo zote wanazohitaji. Video hizo ni sehemu ya kampeni inayohusisha matangazo ya televisheni, matangazo ya redio,matukio ya kutazama mechi Pamoja na miongozo ya mitandao ya kijamii. Kampeni hii itakua katika lugha 5 (Kiingereza, Kifaransa, Kiswahili, Pidgin, na Kireno) na imeandaliwa na mradi wa Breakthrough ACTION.

Link to

TV Spot 1

TV Spot 2

These two TV spots are designed to touch the hearts of Tanzania’s male football fans as they cheer their team on at the 2023 Africa Cup of Nations to inspire them to ensure that their families and loved ones have the COVID-19 vaccine and routine childhood vaccinations they need.

Led by Breakthrough ACTION, this campaign includes TV spots, radio spots, posters, a community events guide and a social media guide. The campaign is in 5 languages (English, French, Swahili, Pidgin and Portuguese).

 

 

 

Views 825