Matangazo ya televisheni ya kuhamasisha chanjo katika Michuano ya mpira ya Mataifa ya Afrika – Tanzanie

Matangazo haya mawili ya televisheni yanahamasisha chanjo za kawaida pamoja na chanjo za UVIKO-19 katika michuano ya mpira ya kombe la kimataifa Afrika 2023, Matangazo haya yanalenga kutoa hamasa kwa wanaume kuhakikisha familia zao na wapendwa wao wamepata chanjo zote wanazohitaji. Vidéo hizo ni sehemu ya kampeni inayohusisha matangazo ya televisheni, matangazo ya redio,matukio ya kutazama mechi Pamoja na miongozo ya mitandao ya kijamii. Kampeni hii itakua katika lugha 5 (Kiingereza, Kifaransa, Kiswahili, Pidgin, na Kireno) na imeandaliwa na mradi wa Breakthrough ACTION.

Lié à

Spot TV 1

Spot télé 2

Ces deux spots télévisés sont conçus pour toucher le cœur des supporters masculins de football tanzaniens alors qu'ils encouragent leur équipe lors de la Coupe d'Afrique des Nations 2023 afin de les inciter à veiller à ce que leurs familles et leurs proches reçoivent le vaccin contre la COVID-19 et les vaccinations systématiques des enfants. besoin.

Menée par Breakthrough ACTION, cette campagne comprend des spots télévisés, des spots radio, des affiches, un guide des événements communautaires et un guide des réseaux sociaux. La campagne est en 5 langues (anglais, français, swahili, pidgin et portugais).

 

 

 

Vues 557