Matangazo ya televisheni ya kuhamasisha chanjo katika Michuano ya mpira ya Mataifa ya Afrika – Tanzania

Matangazo haya mawili ya televisheni yanahamasisha chanjo za kawaida pamoja na chanjo za UVIKO-19 katika michuano ya mpira ya kombe la kimataifa Afrika 2023, Matangazo haya yanalenga kutoa hamasa kwa wanaume kuhakikisha familia zao na wapendwa wao wamepata chanjo zote wanazohitaji. Video hizo ni sehemu ya kampeni inayohusisha matangazo ya televisheni, matangazo ya redio,matukio ya kutazama mechi Pamoja na miongozo ya mitandao ya kijamii. Kampeni hii itakua katika lugha 5 (Kiingereza, Kifaransa, Kiswahili, Pidgin, na Kireno) na imeandaliwa na mradi wa ACCIÓN innovadora.

Enlace a

Anuncio de televisión 1

Anuncio de televisión 2

Estos dos anuncios de televisión están diseñados para tocar los corazones de los fanáticos del fútbol masculino de Tanzania mientras animan a su equipo en la Copa Africana de Naciones 2023 para inspirarlos a garantizar que sus familias y seres queridos reciban la vacuna COVID-19 y las vacunas infantiles de rutina que necesitan. necesidad.

Dirigida por Breakthrough ACTION, esta campaña incluye anuncios de televisión, anuncios de radio, carteles, una guía de eventos comunitarios y una guía de redes sociales. La campaña está en 5 idiomas (inglés, francés, swahili, pidgin y portugués).

 

 

 

  • carolina jacoby
  • cjacoby@jhu.edu

Vistas 587