Matangazo ya redio ya kuhamasisha chanjo katika Michuano ya mpira ya Mataifa ya Afrika – Tanzania
Matangazo haya mawili ya redio yanahamasisha chanjo za kawaida na chanj za UVIKO-19 katika michuano ya mpira ya kombe la kimataifa Afrika 2023, Matangazo haya yanalenga kutoa hamasa kwa wanaume kuhakikisha familia zao na wapendwa wao wamepata chanjo zote wanazohitaji,Matangazo haya ya redio hizo ni sehemu ya kampeni inayohusisha matangazo ya televisheni, matangazo ya redio,matukio ya kutazama mechi Pamoja na miongozo ya mitandao ya kijamii. Kampeni hii itakua katika lugha 5 (Kiingereza, Kifaransa, Kiswahili, Pidgin, na Kireno) na imeandaliwa na mradi wa Breakthrough ACTION.
These two radio spots are to promote routine immunization and the COVID-19 vaccine during AFCON 2023, featuring well known sportscasters. They aim to inspire men to ensure that their families and loved ones have all the vaccines they need. The radio spots are part of an overall campaign which includes TV spots, radio spots, watch party and social media guides. The campaign is in 5 languages (English, French, Swahili, Pidgin and Portuguese.) and was developed by Breakthrough ACTION
- Caroline Jacoby
- cjacoby@jhu.edu
Views 621