Bango la Michuano ya Mataifa ya Afrika AFCON linalohamasisha huduma za chanjo Tanzania
Vipeperushi hivi vitatu vinaonyesha furaha ya mashabiki wa soka wa Tanzania wanavyoshangilia timu yao katika Kombe la Mataifa ya Afrika 2024 huku wakipiga debe na kuhamasisha chanjo ya UVIKO-19 na chanjo za kawaida za watoto kwa lengo la kulinda wale walio hatarini zaidi. Vipeperushi hivi ni sehemu ya kampeni kubwa inayojumuisha matangazo ya televisheni, matangazo ya redio, machapisho, mabango ,miongozo ya kutazama mechi pamoja na mitandao ya kijamii. Kampeni hii itakua katika lugha 5 (Kiingereza, Kifaransa, Kiswahili, Pidgin, na Kireno) na imeandaliwa na mradi wa Breakthrough ACTION.
- Caroline Jacoby
- cjacoby@jhu.edu
Views 474