Matangazo ya redio ya kuhamasisha chanjo katika Michuano ya mpira ya Mataifa ya Afrika – Tanzanie

Matangazo haya mawili ya redio yanahamasisha chanjo za kawaida na chanj za UVIKO-19 katika michuano ya mpira ya kombe la kimataifa Afrika 2023, Matangazo haya yanalenga kutoa hamasa kwa wanaume kuhakikisha familia zao na wapendwa wao wamepata chanjo zote wanazohitaji, Matangazo haya ya red io hizo ni sehemu ya kampeni inayohusisha matangazo ya televisheni, matangazo ya redio,matukio ya kutazama mechi Pamoja na miongozo ya mitandao ya kijamii. Kampeni hii itakua katika lugha 5 (Kiingereza, Kifaransa, Kiswahili, Pidgin, na Kireno) na imeandaliwa na mradi wa Breakthrough ACTION.

Spot radio 1

Spot radio 2

Ces deux spots radio visent à promouvoir la vaccination de routine et le vaccin contre la COVID-19 lors de la CAN 2023, mettant en vedette des commentateurs sportifs bien connus. Leur objectif est d’inciter les hommes à veiller à ce que leurs familles et leurs proches disposent de tous les vaccins dont ils ont besoin. Les spots radio font partie d'une campagne globale qui comprend des spots télévisés, des spots radio, des soirées de visionnage et des guides sur les réseaux sociaux. La campagne est en 5 langues (anglais, français, swahili, pidgin et portugais) et a été développée par Breakthrough ACTION.

 

Vues 429