Bango la Michuano ya Mataifa ya Afrika AFCON linalohamasisha huduma za chanjo Tanzanie

Vipeperushi hivi vitatu vinaonyesha furaha ya mashabiki wa soka wa Tanzanie wanavyoshangilia timu yao katika Kombe la Mataifa ya Afrika 2024 huku wakipiga debe na kuhamasisha chanjo ya UVIKO-19 na chanjo za kawaida za watoto kwa lengo la kulinda wale walio hatarini zaidi. Vipeperushi hivi ni sehemu ya kampeni kubwa inayojumuisha matangazo ya televisheni, matangazo ya redio, machapisho, mabango, miongozo ya kutazama mechi pamoja na mitandao ya kijamii. Kampeni hii itakua katika lugha 5 (Kiingereza, Kifaransa, Kiswahili, Pidgin, na Kireno) na imeandaliwa na mradi wa Breakthrough ACTION.

Lien vers les affiches

 

 

 

 

 

Vues 323