Matangazo ya televisheni ya kuhamasisha chanjo katika Michuano ya mpira ya Mataifa ya Afrika – Tanzania
Matangazo haya mawili ya televisheni yanahamasisha chanjo za kawaida pamoja na chanjo za UVIKO-19 katika michuano ya mpira ya kombe la kimataifa Afrika 2023, Matangazo haya yanalenga kutoa hamasa kwa wanaume kuhakikisha familia zao na wapendwa wao wamepata chanjo zote wanazohitaji.